Michongo

by Dudumizi


Shopping

libero



Michongo Tanzania ni Application inayokuwezesha kupata bidhaa au huduma zilizo kwenye unguzo Tanzania kokote ulipo. Lengo letu ni kuwa mtandao namba moja kwa ajili ya manunuzi ya bidhaa na huduma kwa njia ya mtandao. Michongo inauza bidhaa na huduma zilizo kwenye punguo tu, hivyo ni sehemu ya kwanza kutembelea kabla haujaenda dukani kununua bidhaa.Hakuna haja ya kungojea, shusha application ya Michongo na uanze kufaidi punguzo kwenye huduma. Kama unataka kununua bidhaa za urembo, kutafuta hoteli ya kwenda kula wikiendi, unataka kwenda kuvinjari Zanzibar au bagamoyo na mengine mengi, Michongo imesheheni.
Kwenye Michongo, kila siku kuna mapunguzo lukuki, jukumu ni lako kuweza kufaidi;
Kwenye Michongo unaweza;
• Kununua bidhaa zilizo kwenye punguzo kwa njia ya mtandao• Kutangaza bidhaa au huduma zilizo kwenye punguzo (offers)• Kuingiza kipato kwa kila Mchongo utakaoshare na marafiki kwenye mitandao jamii• Kutambulisha biashara kwa wateja kiurahisi zaidi•Okoa muda kwa kununua vitu online na kutumiwa popote ulipo•Okoa kipato kwa kununua bidhaa zilizo kwenye bei ya punguzo
Acha kuchafua mji kwa matangazo mabarabarani kila unapotaka kutoa punguzo, tumia michongo App.